Wakuu nauza starlet carat ya mwaka 1998 kutoka Japan imetembea klm 80,000.
eng. capacity 1300, imelipiwa ushuru na gharama nyingine.
nimetumia peke yangu for two years.
Anayehitaji anitumie email tufanye mawasiliano.
BEI SHILLINGI NGAPI ? wewe email zetu za nini, ? au umetumwa utupeleleze. weka mambo hadharani, humu tunaongea kwa uwazi.Wakuu nauza starlet carat ya mwaka 1998 kutoka Japan imetembea klm 80,000.
eng. capacity 1300, imelipiwa ushuru na gharama nyingine.
nimetumia peke yangu for two years.
Anayehitaji anitumie email tufanye mawasiliano.
weka picha hapa tuione,sio mbuzi kwenye gunia