INAUZWA Nauza Sungura

INAUZWA Nauza Sungura

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,697
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania

Husika na kichwa cha Habari Hapo juu.
Nawauza Hao sungura watatu Hapo wamezidi utukutu. Naona bora niwauze drop your offer kwa wote hao watatu.
Mawasiliano yangu ni
+255659167416 (WhatsApp✓ Call✓ SMS✓)
Location; Mbagala Kizuiani.


IMG_20210505_121432_449.jpg
 
How do you kula sungura by the way? Kijijini kwetu watu wanakula Simbilisi na hua naona wanazingua.
 
Kuna utofauti mkubwa sana btw. Mtoto wa kiume majungu majungu hayafai. Hao panya wenyewe mtwara wanakula
Sio majungu. Anayejua sungura hawezi kukatishwa tamaa na comments humu atatunua tu. Wengine tupo hapa kufanya uzi au mada yako ichangamke
 
mkuu mzigo bado upoo? naomba picha za hao watatu unaokusudia kuwauza, maana hapo wapo watano
 
Back
Top Bottom