INAUZWA Nauza taa za kuchaji zinazoua mbu na wadudu wengineo

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
Taa ya kuua Mbuu Na Wadudu mbalimbali
Ni Ya Kuchaji
Inaua Mbuu Na Wadudu mbali Kwa Shoti Maalumu
Haina madhara kwa binadamu,
Ikishachajiwa na kuwa full chaji inaweza tumika masaa 48
haina gharama ya ziada zaidi ya kuichaji
Pia Inatumika kama taa ya kawaida ili kupata mwanga
Battery 4000

BEI elfu 45 TZS

Tupo kigamboni Maweni
Call
0718295182
0765505909

 
Haiwezi tumika direct kwenye umeme.yaani moja kwa moja kwenye soketi.
 
Dodoma mpo?
Hapana mkuu
Ila kwa mikoani tunatuma
Kuna utaratibu ukiufuata utapata bidhaa

Nenda kwenye ofisi za mabasi yanayokuja Dar na mimi nitakuwa huku Dar kwenye ofisi za hilo bus
Utawasilisha elfu 45 kama malipo ya Lamp Na pesa ya kusafirisha hii Lamp kutoka Dar hadi ulipo

Tafuta ofisi utakayoiamini
Ukishawapa hiyo pesa na mimi nitakabidhi mzigo kwenye ofisi zao za Dar na hiyo pesa nitachukulia hapa Dar kwenye ofisi zao

kitakachobaki ni ww kupokea mzigo wako huko ulipo, wadhamini itakua ni mfanyakazi wa hiyo ofisi ya bus
 
Ukienda kuweka kambi saiti kwako, beba hii utanishukuru
 
Usiku ndo huu wakuu muda wa kuwabanika mbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…