INAUZWA Nauza taa za kuchaji zinazoua mbu na wadudu wengineo

INAUZWA Nauza taa za kuchaji zinazoua mbu na wadudu wengineo

Taa zina betri lenye uwezo wa 4000 mah
So ukaaji wa chaji ni uhakika
 
Nilishawahi kununua taa zinazokaribiana na hizo ila hazikuwa zinaua mbu...

Hizi zako una uhakika zinaua mbu?

Unaweza kuweka evidence yeyote hapa?
 
Nilishawahi kununua taa zinazokaribiana na hizo ila hazikuwa zinaua mbu...

Hizi zako una uhakika zinaua mbu?

Unaweza kuweka evidence yeyote hapa?
Uhakika Zinaua mkuu si mbu tu mdudu yeyote hapa hachomoki
 
Wakati huu wa mvua mbu ni wengi, kifaa giki kinasadia sana kuua mbu
 
Wakuu tuwasiliane
0718295182
0765505909
Taa ninazo za kutosha
 
Wazee wa camp mashambani hii kitu nitakupa utulivu usiku
 
Back
Top Bottom