Ally Abdulrahman
Senior Member
- Mar 28, 2015
- 194
- 312
Mkuu kama upo Dar tuyajenge. Maana lipo kama jipyaJipya shilingi ngapi kwani?
Kumpata mlinzi mwingine naona ni kazi nyingine kabisa Ndio maana naona kazi rahisi ni kuuza hili Tank Tu ambalo haliingi storeTafuta mlinzi mwingine
Nimenunua simtank jipya kabisa lita 3000 kuletewa mpaka site 350,000 alopelekewa alitaka tank lenye weupe ndani hakutaka jeusi, hivyo kwa ushauri tu rekebisha bei used ni used tuNimelitumia miez 7 Tu. Nahofia kuibiw maan mlinzi hatulii site so Bor nipate nusu hasar kuliko kukosa kabis . Dukani ni 530,000
Nakuelew mkuu. Hili sio SIMTANK hili ni KIBOKO na kiboko ni imara San na Nd ambayo ndan meupe na ni magumu San uliza hardware yeyte. KIBOKO LITA elfu 3 haishuki chini ya 500kNimenunua simtank jipya kabisa lita 3000 kuletewa mpaka site 350,000 alopelekewa alitaka tank lenye weupe ndani hakutaka jeusi ,,hivyo kwa ushauri tu rekebisha bei used ni used tu
Na KIBOKO haiwez kuw saw na SIMTANK . KIBOKO iko juu kidg sbb ya uimaraNimenunua simtank jipya kabisa lita 3000 kuletewa mpaka site 350,000 alopelekewa alitaka tank lenye weupe ndani hakutaka jeusi ,,hivyo kwa ushauri tu rekebisha bei used ni used tu
Nicheki tufanye Biashara 0683508256Kama uko serious lakini