Ally Abdulrahman
Senior Member
- Mar 28, 2015
- 194
- 312
- Thread starter
- #21
WANA JF. bado sijaliuza hili Tank. Wapo walionisha Nia ya kulitaka lakin hawakuw siriaz . So kw yeyte mwnye kuhitaji Tank KIBOKO LITA 3000. Karibuni Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilinunua tank aina ya simtank mwaka 2004 mpaka leo linafanyakazi wala halina crack.so simtank ni imara mnoNakuelew mkuu. Hili sio SIMTANK hili ni KIBOKO na kiboko ni imara San na Nd ambayo ndan meupe na ni magumu San uliza hardware yeyte. KIBOKO LITA elfu 3 haishuki chini ya 500k
Wacha kutupanga. We MzeeMimi nilinunua tank aina ya simtank mwaka 2004 mpaka leo linafanyakazi wala halina crack.so simtank ni imara mno
Mimi pia nina simtank 5000Lt tangu mwaka 2014 lipo safi kabisa.Mimi nilinunua tank aina ya simtank mwaka 2004 mpaka leo linafanyakazi wala halina crack.so simtank ni imara mno
Jitahidi unapofanya biashara yako usiharibu brands za kampuni nyingine,pia kama hujatumia bidhaa tofauti na uliyonayo wewe heri ukae kimya tuu.Wacha kutupanga. We Mzee
Kesho nalipiga picha naliweka hapa kama ushahidiWacha kutupanga. We Mzee
Mimi pia ninalo simtank tangu 1990 hadi leo liko safiMimi nilinunua tank aina ya simtank mwaka 2004 mpaka leo linafanyakazi wala halina crack.so simtank ni imara mno