Nauza tikiti maji kwa bei ya jumla, ni shamba la eka moja nusu

Nauza tikiti maji kwa bei ya jumla, ni shamba la eka moja nusu

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Niko mkoa wa Simiyu, ni shamba la eka moja na nusu. Kwa wale wanaonunua shambani kwa bei ya jumla karibuni. Makisio ya tikiti ni kuanzia 1500 - 3000.

Mawasiliano 0786382988, 0742366392.
 
Weka Picha ya Tikiti Maji tuone
 
Back
Top Bottom