Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
- Thread starter
- #21
Sawa kanunueHakuna Gari mpya ya 2008. Hiyo mtumba tena mtumba uliotumika Tanzania. Kwa m10 unapata mtumba Toka Japan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kanunueHakuna Gari mpya ya 2008. Hiyo mtumba tena mtumba uliotumika Tanzania. Kwa m10 unapata mtumba Toka Japan
Sawa mkuuHakuna gari mpya ikapakwa rangi mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Abigail unafaa kuwa polisi tena FFU sio dalali!!!
Umempa ushauri mzuri sana mkuuUkiona mtu anakuwa mbogo kwenye biashara yake jua kuna tatizo.
Kasema imechubuliwa kidogo ubavuni picha haionyeshi marekebisho ya roof hatuoni watu wanatafuta thamani halisi ya gari dalali unawaka ili nn sasa nyie ndio wale mtu amakagua gari unaanza kumpangia hiki hapana speed punguza milio kibao..... Mkuu jitahidi udalalie gari za kueleweka mbali na hapo jifunze kutabasamu hata kama mtu kakukwaza na maoni yake biashara haitaki hasira........ 16m unavuta rumion kaliii isiyotaka marekebisho yoyote sasa kwann mtu aje kununua hiyo iliogongwa na mdada full kupigwa pasi
Wajeshi uhakika.Madalali ndio wanachelewesha watu vitu kutoka kwa kuweka tamaa sana
Hii gari nikitag wanajeshi tena vijana vijana kwa bei uliyotaja hapo inaondoka chap sana.
Huyo ana tamaa
Hawa wote ni wababaishaji. Trust me. Hakuna mnunuzi hapo. Mnunuzi umtamjua tu na huwa anauliza vitu vyenye mantiki.Sawa mkuu
Nawajua.ndo maana nawajibu Kwa kadri ya ujuaji wao.Hawa wote ni wababaishaji. Trust me. Hakuna mnunuzi hapo. Mnunuzi umtamjua tu na huwa anauliza vitu vyenye mantiki.
sana sana mkuu.Wajeshi uhakika.