Nauza Toyota Starlet epi91 bei imepoa sana sasa.

Nauza Toyota Starlet epi91 bei imepoa sana sasa.

TRACE

Senior Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
120
Reaction score
46
Bei TSh. 4,500,000/=

Piga simu 0715 505171 kwa mazungumzo.

Mahali ilipo gari ni Tabata, kikazi napatikana Posta mpya Jengo la CRDB Azikiwe Branch waweza fika hapo tuonane na kupanga kwa wale walio Mjini

Insurance Third party.Road Licence active.Natanguliza shukrani na nitajaribu kuwa hewani kujibu au kutoa ufafanuzi kama utahitajika.Asante
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    421.5 KB · Views: 218
  • image.jpg
    image.jpg
    405.8 KB · Views: 211
  • image.jpg
    image.jpg
    646 KB · Views: 191
  • image.jpg
    image.jpg
    410.6 KB · Views: 180
  • image.jpg
    image.jpg
    492.9 KB · Views: 167
  • image.jpg
    image.jpg
    518.7 KB · Views: 154
  • image.jpg
    image.jpg
    416.1 KB · Views: 169
duh bei imeshuka kweli toka 6 ina tatizo gani mkuu chukua nne na kwa kuanzia nakupa 3 halaf nafanya matazamio kwa mwez then nakupa hiyo moja hapo vp
 
Nimeweka namba hapo ambayo ni 0715 505171 tuwasiliane Kimpe.Piga upate ufafanuzi kama upo serious
 
Mzigo bado upo na mara utakapochukuliwa nitatoa taarifa tena.Karibuni
 
Back
Top Bottom