Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

Duuh kwan mpya bei gan ?

Izo kilometer sku izi zinarudishwa nyuma kwa elf 20 tu unapata iyo uduma kwaiyo kilometer sio ishu sana

Gar nzuri imenyoka hongera kwa ilo
 
Means haina sehemu ya kuweka tairi kwenye buti au hii ipoje?
 
Wadau nahitaji ushauri..Nataka kununua gari aina Honda(Sina uzoefu na magari) nimejichanga sasa Nataka ninunue...vipi spare na ubora wake?
 
Back
Top Bottom