Car4Sale Nauza Toyota Wish

Car4Sale Nauza Toyota Wish

Joined
Apr 4, 2019
Posts
81
Reaction score
90
Habari wakuu nauza gari yangu nina emergency haina tatizo lolote wala haijawahi kurudiwa rangi.

Bei 10.3 maelewano yapo kidogo
Mwaka 2004
Millage-99288
Cc 1790
Colour- black

Inapatikana Dar es salaam anahitaji kuiona tuwasiliane kwa whatsapp 0785612112

Mnisamehe quality ya picha sio nzuri sana.

Screenshot_20200918-165813~2.jpg
IMG_20200918_165217.jpg
IMG_20200918_164915.jpg
IMG_20200918_164901.jpg
IMG_20200918_164702.jpg
 
Mkuu....
Weka bei
Sema unapatikana wapi
Piga picha kwa nyuma na ndani
Weka mawasikiano ili kufanya wepesi
 
Naona umefuta namba ya usajili kwenye gari huku umeianika kwenye kadi ya gari🤷‍♂️🤷‍♂️
 
Back
Top Bottom