Nauza treadmill Machine ya kufanya mazoezi ya kutembea na kukimbia kwa bei ya kutupa kabisa 1.2m

Nauza treadmill Machine ya kufanya mazoezi ya kutembea na kukimbia kwa bei ya kutupa kabisa 1.2m

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
84
Reaction score
141
Kwa yule atakaehitaji machine ya Treadmill kwaajili ya kufanya mazoezi ya kukimbia na kutembea anicheki. Tangu ninunue ina miezi miwili2 ya kutumika.

Sifa:
1. Inatumia umeme
2. Kg 110
3. Dukani mpya inauzwa 1,650,000 na zaidi

Naiuza kwa 1.2m ila maongezi yapo. Sababu za kuuza ni kuwa nimehamia kwangu na hakuna umeme, tunatumia umeme wa Solar kwahiyo haiwezi kusukuma machine hiyo.

Nimeambatanisha picha hapo juu.

Mawasiliano: 0783 242247
Kigamboni.

20250824_080851.jpg
20250824_080842.jpg
 

Attachments

  • 20250824_080844.jpg
    20250824_080844.jpg
    590.3 KB · Views: 34
Back
Top Bottom