Halafu anajifanya kuwa , alikuwa anaelewa , huku anauliza tena!!Uelewa mdogo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeshangaa sana maana kwa bei hiyo imeipita hata ya Smart toka zanzibar...Aisee kweli Dunia inaenda kasi mwaka jana nilinunua kwa 340,000/= na usafiri kulipiwa toka Zanzibar
Jibu swali wewe acha ubabaishaji,je ni smart tv?.Hapo kwenye box, imeandikwa LED TV, bado unauliza tena ni smart?!!!
Hahaaaa!!!kumbe mko wengi kwa hiyo na wewe sasa umeona uje kuonyesha ujinga wako kwenye hili??!!daaa, kweli ukimya huficha mengiJibu swali wewe acha ubabaishaji,je ni smart tv?.
au hujui maana ya smart tv?
OK0675678733
TV yaonakana kuwa ni bora sana, Ila sasa Umesahau kutuwekea bei.Boss nchi 55 smart
Tv led Inatumia HDMI USB VGA na AV
Bei nenda PM πππ
Hata smart TV na yenyewe pia ni LEDHapo kwenye box, imeandikwa LED TV, bado unauliza tena ni smart?!!!