TV4Sale Nauza TV na Sabufa

TV4Sale Nauza TV na Sabufa

Mkuu sina nia ya kuharibu biashara ila LED 32"uuze kwa hiyo bei ....wakat hata 250 unapata USED Gud condition
 
Aisee kweli Dunia inaenda kasi mwaka jana nilinunua kwa 340,000/= na usafiri kulipiwa toka Zanzibar
 
Jibu swali wewe acha ubabaishaji,je ni smart tv?.

au hujui maana ya smart tv?
Hahaaaa!!!kumbe mko wengi kwa hiyo na wewe sasa umeona uje kuonyesha ujinga wako kwenye hili??!!daaa, kweli ukimya huficha mengi
Kama led tv, huijui utaijuaje smart tv?!! Kwa Wenye akili zao hizo terms tu wanafahamu , zina maana gani!!ficha ujinga wako, mbona mwenyewe alishaelewa baada ya kugundua kuwa kumbe alikuwa hajui maana ya LED TV!!sasa nakushangaa sijui umeibukia wapi huko!!
 
Redio ya boss
Ina bass nzur
Inatumia BLUETOOTH AUX USB na FM REDIO
Bei 150000 Tu
Mzigo mpaka nyumban unaletewa ukiwa dar es salaam
IMG-20210916-WA0047.jpg
 
Boss nchi 55 smart
Tv led Inatumia HDMI USB VGA na AV
Na YouTube
Ina warranty mwaka 1
Karibun sana
No 0675678733
5b3154c7998ce3ee8cc9774052ec55d096e6a4ce.jpg
 
Back
Top Bottom