TV4Sale Nauza TV ya inch 24

TV4Sale Nauza TV ya inch 24

Pole sana mama ,uko wapi ? Je mwenye kuhitaji TV akupate kwa namba gani ?
Hiyo biashara umeifanyia uchunguzi unahisi maeneo unakoipeleka itapokelewa vyema ?
Pole sana mama ,natamani niwe na majukumu Kama yako ,yaani nione watoto wananidai kula ,kulala na kusoma ila Mungu mwema ,amini yatakaa sawa
Nipo dar mbezi Natak nilip Kodi 60 nyingine nianze biashara
 
Ni mama nawatt wawili ninamiaka 30 ..kitu cha thamani nilichobaki nacho Ni iyo TV Tu sasa naiuza niweze kufanya biashara Na kulipa kodi naamin Mungu ataniwezesha ntanunua bdae mambo yaikaa Sawa Bora nifanye biashara watt wangu wapate kuingiza chochte kitu mdomoni ..

Nauza laki moja Tu nahitaj kuanzisha biashara ya kuchoka mihogo ninunue vifaa vya biashara naombeni mnunue iyo TV Ni nchi 24 watt awaelew Kama Sina kitu niokoleen jahazi

Sina msaada Bora niuze Mali yangu Halali
Pole. Mwenyenzi Mungu akufanyie wepesi
 
Pole sana kwa hali unayopitia na kila la kheri ukafanikiwe kwenye ulilopanga kufanya.
 
Haha haaa mimi ninae tayari nina kahandsome miaka miwili, japo ni single mother lakini namshukuru sana Mungu sina kikubwa ila angalau njia ya chooni tunaiona. hivyo naelewa anachopitia jamila ndo maana nataka nimpe karai make lipo tu halina kazi anaweza chukua akaanzia.
Nielekeze unapoishi nije kumuona handsome
 
Back
Top Bottom