Neema Mkangwa
Member
- Jan 24, 2023
- 37
- 34
- Thread starter
-
- #21
Unataka ubuyu au Kuna kingine hapoMpk geto unanifikia Kwa kuletwa na muuzaji mwenyewe na c boda wako😋
Nimeweka Bei soma utaona mkuuWeka bei
Sema hujasema hiyo buku nne ni kiasi gani?Nimeweka Bei soma utaona mkuu
Sema hujasema hiyo buku nne ni kiasi gani?
Jaman elf 4 kwa kilo?Ney Ubuyu wa Kishua😋
🔴Ladha ya Vanilla
➡Ubuyu huu hauchubui mdomoni
➡Bei 4000
➡️Jumla pia unapatikana
➡ Tunafanya Delivery na Mikoani tunatuma
➡0752228138
KARIBU
Hapana kilo ni elfu Saba elfu nne kwenye contena Kama iloJaman elf 4 kwa kilo?
KaribuUnavutia sana