Karibuni nauza Unga wa Mbegu za Maboga Pure 100% haujachanganywa na chochote.
Unga huu una faida kemkem kwa afya zetu na kwa umri wowote. Kama vile umsaidia Mama anayenyonyesha Kuongeza maziwa, kinga na dawa bora dhidi ya Kisukari na Shinikizo la Damu, kinga dhidi ya tezi dume n.k
Bei ni Sh.4,000 kwa robo kilo na Bei ya jumla ni Sh. 3,500.
Napatikana Arusha kwa namba zifuatazo:
Hongera sana kiongozi nimekua nikiutafuta sana huu unga aisee ila ni kwa matumizi yangu ya nyumbani tu sio kibiashara veep nikituma hela unaweza nitumia kwa njia ya posta nikaupokea huku niliko.
Hongera sana kiongozi nimekua nikiutafuta sana huu unga aisee ila ni kwa matumizi yangu ya nyumbani tu sio kibiashara veep nikituma hela unaweza nitumia kwa njia ya posta nikaupokea huku niliko.