Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha tuoneIko vizur Sana inapoza ndan muda mfupi na haitumii umeme mwing,
Nauza kwa kua ninahamia mkoani kikaz, napatikana kitunda-kivule dsm
Contact:0627288599
top ofa njoo na 140 siuz chini ya hapo bossMkuu Kama Ni laki moja nakuja hata sasa hivi
Njoo ifate kwa 140 bossNiletee nikupe 150
Niko huk kitunda-kivule boss, 0627288599Upo wapi
Duh, nipo mwenge. Kwa umbali huo usafiri zaidi ya 60,000 plus fine za barabarani. NimeshindwaNiko huk kitunda-kivule boss, 0627288599
Mkuu vyuma vimekaza huwez komaa na bei kubwa wakat ofa zinazokuja ni ndogo inabid ibadilike kulingana na hali ya maisha inayoenda kwa wengi nafikiri 170.000 "itapendezaa"Huyu jamaa Nina mashaka nae, hiyo freeze kaitangaza kupatana tens Mara mbili, bei ya kanza 200,000 na ya pili 180,000 so each out, kajama kwenyewe kana kitu balaa
Haya mkuu kila LA heriMkuu vyuma vimekaza huwez komaa na bei kubwa wakat ofa zinazokuja ni ndogo inabid ibadilike kulingana na hali ya maisha inayoenda kwa wengi nafikiri 170.000 "itapendezaa"
Inatisha, aisee!Ndo muonekano wake ama!!! mbona humo ndani naona kama kutu!!!