INAUZWA Nauza used Freezer ndogo ya Hotpoint nimepunguza bei hadi 170,000 tu

Ndo muonekano wake ama!!! mbona humo ndani naona kama kutu!!!
hapana Hyo inatokana na kutoiwasha kwa muda kidogo iliweka kama uchafu nimeshaiosha mkuu, huwez ona ivyo
 
Weka picha ikiwa imeoshwa basi maana kutangaza kitu kikiwa katika hali hiyo unakosa wateja.
 
Back
Top Bottom