K kilanio JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 221 Reaction score 69 Nov 26, 2017 Thread starter #21 Wgr30 said: Ndo muonekano wake ama!!! mbona humo ndani naona kama kutu!!! Click to expand... hapana Hyo inatokana na kutoiwasha kwa muda kidogo iliweka kama uchafu nimeshaiosha mkuu, huwez ona ivyo
Wgr30 said: Ndo muonekano wake ama!!! mbona humo ndani naona kama kutu!!! Click to expand... hapana Hyo inatokana na kutoiwasha kwa muda kidogo iliweka kama uchafu nimeshaiosha mkuu, huwez ona ivyo
U Upiversity JF-Expert Member Joined Jun 19, 2015 Posts 3,487 Reaction score 2,632 Nov 26, 2017 #22 pefhana said: Duh, nipo mwenge. Kwa umbali huo usafiri zaidi ya 60,000 plus fine za barabarani. Nimeshindwa Click to expand... ..huna hela wewe!
pefhana said: Duh, nipo mwenge. Kwa umbali huo usafiri zaidi ya 60,000 plus fine za barabarani. Nimeshindwa Click to expand... ..huna hela wewe!
dendizzo JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 962 Reaction score 1,331 Nov 26, 2017 #23 kilanio said: hapana Hyo inatokana na kutoiwasha kwa muda kidogo iliweka kama uchafu nimeshaiosha mkuu, huwez ona ivyo Click to expand... Weka picha ikiwa imeoshwa basi maana kutangaza kitu kikiwa katika hali hiyo unakosa wateja.
kilanio said: hapana Hyo inatokana na kutoiwasha kwa muda kidogo iliweka kama uchafu nimeshaiosha mkuu, huwez ona ivyo Click to expand... Weka picha ikiwa imeoshwa basi maana kutangaza kitu kikiwa katika hali hiyo unakosa wateja.
nobleG Senior Member Joined Sep 12, 2016 Posts 194 Reaction score 66 Jan 3, 2018 #24 Bado ipo hyo freezer