peter nguluchuma
New Member
- Jan 27, 2012
- 4
- 3
TCRA hawatataka uwe na kibali chao!?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Iyo kazi yake ni kuamisha picha ya video au cctv kutoka sehemu moja kwenda nyingine bila kutumia wire kwa umbali wa 1km mpaka 5km karibu