INAUZWA Nauza video sender transmission distance 1km,2km,5km bei tsh350000 mawasiliano 0758701020

Hebu fafanua,ni kwa ajili ya TV au CCTV? Na inafanyaje kazi? Ina cover distance(radius) kiasi gani? Na je inahitaji direct line of sight au sio lazima?
 
Iyo kazi yake ni kuamisha picha ya video au cctv kutoka sehemu moja kwenda nyingine bila kutumia wire kwa umbali wa 1km mpaka 5km karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…