INAUZWA Nauza vifaa vya salon ya kiume..

Chukua m2 fasta, mtu aje kuvikagua, turaaminije kama ni vyako?
2m ni thamani ya viti viwili na air condition na na kiti cha kuoshea kama nkiuza rena reja.. Hvyo haitoshi mkuu
 
Nakupa na risiti ya kila kifaa cha hapo na bei zake utaziona
Hii biashara inalipa kiongozi? Cz mwaka huu nataka nijipige pige nifungue saluni ya kike na kiume but ziwe za hali ya juu( nzuri sana) hebu nipe a,b,c na changamoto
 
Kwa nini unahama hapo kuna nini hasa??
 
2mil nakupa ukiondoa AC siitaki zinakamua sana umeme
 
kwa mkopo je inawezekana nikawa nalipa kidogo kidogo
 
chukueni mzigo huo mbona bei nyasi sana wakuu..m3 tu???
 
bado vipo mkuu ?
 
Weka bei,mi nimefungua saloon mpya nataka kubadili vifaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…