INAUZWA Nauza vifaa vya salon ya kiume..

INAUZWA Nauza vifaa vya salon ya kiume..

Chukua m2 fasta, mtu aje kuvikagua, turaaminije kama ni vyako?
2m ni thamani ya viti viwili na air condition na na kiti cha kuoshea kama nkiuza rena reja.. Hvyo haitoshi mkuu
 
Nakupa na risiti ya kila kifaa cha hapo na bei zake utaziona
Hii biashara inalipa kiongozi? Cz mwaka huu nataka nijipige pige nifungue saluni ya kike na kiume but ziwe za hali ya juu( nzuri sana) hebu nipe a,b,c na changamoto
 
Kwa nini unahama hapo kuna nini hasa??
 
2mil nakupa ukiondoa AC siitaki zinakamua sana umeme
 
kwa mkopo je inawezekana nikawa nalipa kidogo kidogo
 
chukueni mzigo huo mbona bei nyasi sana wakuu..m3 tu???
 
Nauza vifaa vya salon ya kisasa iko maeneo ya ubungo mawasiliano.. Vimetumika muda wa mwaka mmoja bado ni kama vipya havina kasoro hata kimoja..
Vitu hvyo ni..
Viti viwili imara
Kiti cha kuoshea kizuri kipya..
Mashine mbili
Vioo vikubwa 3 vina frame ya aluminium
Tv ya singsung inch 25
Kikabati cha kisasa viwili
Kiti cha wageni (3 seater)
Air condition hisence iko poa sana
Boss music subwoofer
Sterelizer na vinginevyo..
NAHITAJI KUUZA JUMLA KWA ANAEHITAJI SERIOUS..
ni kama vipya.. Au kama mnunuzi atahitaji kuendelea na kodi pale cyo mbaya..
Ukihitaji nichek 0713 799 522View attachment 451787View attachment 451788View attachment 451789View attachment 451790View attachment 451791View attachment 451792View attachment 451793View attachment 451794
bado vipo mkuu ?
 
Back
Top Bottom