Nauza vifaranga chotara

Nauza vifaranga chotara

Joined
Aug 8, 2015
Posts
21
Reaction score
9
Habari zenu wadau,

Nauza vifaranga chotara,umri wao ni miezi miwili,wana chanjo zote,wanapatikana mbezi luis,kimoja sh elfu 8.
 
Elfu 8 ghali sana mkuu, ingekuwa walau elfu 4 tungeongea.
 
mimi natafuta, ila hebu nieleze vizuri hao ulio nawo ni chotala ki vipi??? kienyeji na kuku wapi??? au na wewe hujui ila unajua tu ni chotara?? nipe.historia yao yufanye biashara
 
Poleni kwa kupotea,wale vifaranga tyr wameuzwa,km utahitaji tena napokea oda za vifaranga wa siku 1 hadi 7,bei ni elfu 2,napatikana kwa namba hii 0657666740
 
Back
Top Bottom