Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Bila shaka we ni Mchawi na Mwanga uliyetukuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nauza vifaranga vya bundi...
Vina mwezi mmoja, havihitaji chanjo maana jamii hii ya bundi haishambuliwi sana na magonjwa...
Napatikana sumbawanga, Nakuletea popote usafiri juu YanguView attachment 807636
Kama yakoIla hawa ndege wanasura mbayaa.
yangu umeionaKama yako
Sio mayai hata nyama yake ukiitumia inaongeza nguvu za kiume kwa haraka sana .Mkuu naitaji kama 200 nitavifuata mwenyewe maana nasikia mayai yake ni dili sana.
Kabisa Ndugu na soko lake hapa Bongo lipo kubwa sana yani nangoja mdau anitumie mzigo aise.Sio mayai hata nyama yake ukiitumia inaongeza nguvu za kiume kwa haraka sana .
😀😀😀😀😀😀😀😀Ungeongeza kwenye tangazo pia mayai na nyama yake vinaongeza nguvu ya kiume ..ungepokea order mingi
Wafuge wakue wakishakuwa wakubwa ndio utajua kwa nini no body can stop reggae.!Nami nauza vitoto vya simba, vina mwezi na wiki. Leo mchana nitakuwa Sabasaba kuanzia saa sita mpaka kufungwa. Nauza shilingi milioni 2 kwa kila mmoja. Nina madume 4 na jike 1.
View attachment 807779
Kama hilo picha lako!Ila hawa ndege wanasura mbayaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wafuge wakue wakishakuwa wakubwa ndio utajua kwa nini no body can stop reggae.!
Hivi nyie watu mnaofuga bundi na simba, mnavibali kutoka mali asili kweli?Nami nauza vitoto vya simba, vina mwezi na wiki. Leo mchana nitakuwa Sabasaba kuanzia saa sita mpaka kufungwa. Nauza shilingi milioni 2 kwa kila mmoja. Nina madume 4 na jike 1.
View attachment 807779
Binafsi nnachoHivi nyie watu mnaofuga bundi na simba, mnavibali kutoka mali asili kweli?
Una kibali cha kufuga au cha kutuuziaBinafsi nnacho
Duuuu we jamaaa Unamadume 4,how you manage 4 man?Nami nauza vitoto vya simba, vina mwezi na wiki. Leo mchana nitakuwa Sabasaba kuanzia saa sita mpaka kufungwa. Nauza shilingi milioni 2 kwa kila mmoja. Nina madume 4 na jike 1.
View attachment 807779
Wafuge wakue wakishakuwa wakubwa ndio utajua kwa nini no body can stop reggae.!