Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Hivi nyie watu mnaofuga bundi na simba, mnavibali kutoka mali asili kweli?
Duuuu we jamaaa Unamadume 4,how you manage 4 man?
Aisee we jamaa una roho nzuri sana...Bila shaka wewe ni shabiki wa timu ya simbaSi mara ya kwanza nafunga….wakikuwa nawapeleka porini.
[emoji28] jumla au rejareja....Nauza vifaranga vya bundi...
Vina mwezi mmoja, havihitaji chanjo maana jamii hii ya bundi haishambuliwi sana na magonjwa...
Napatikana sumbawanga, Nakuletea popote usafiri juu YanguView attachment 807636
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni vya kisasa au kienyeji?