Nauza vifaranga vya Kloila

Nauza vifaranga vya Kloila

subram

Member
Joined
Feb 6, 2018
Posts
23
Reaction score
10
Nauza kloila vifaranga vya wiki 7 mbegu kubwa wamepata chanjo 4
Bei:7500
Location Sae Mbeya, 0676692082

SIFA
Wana stahimili magonjwa
Hufikia uzito wa kilo 5 kwa Jogoo na kilo 3.5 hadi 4 kwa tetea
Wanaweza fugwa kienyeji hivyo hupunguza gharama za ufugaji
Nyama na mayai ya kloila yana ladha nzuri sana
Huanza kutaga kuanzia wiki 18-20
Hutaga kwa miaka miwili mfululizo

DSC_0097.JPG
DSC_0094.JPG
 
eh mnyaazi Mungu mjalie mja wako auze vifaranga vyote naye akaifaidi sikukuu kama walamba asali
 
Back
Top Bottom