Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Jan 9, 2014 #21 Weka michoro ya hao viumbe basi!
ZionTZ JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,283 Reaction score 541 Jan 9, 2014 #22 aisee mimi ntakua mteja wako next year ntapohamia kwangu, plz usiache hiyo biashara....i hope na mbegu za kuku wale wakubwa unazo pia au sio...
aisee mimi ntakua mteja wako next year ntapohamia kwangu, plz usiache hiyo biashara....i hope na mbegu za kuku wale wakubwa unazo pia au sio...
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Jan 9, 2014 Thread starter #23 Mwaka 2015? Mungu akisaidia biashara itaendelea karibu sana ZionTZ said: aisee mimi ntakua mteja wako next year ntapohamia kwangu, plz usiache hiyo biashara....i hope na mbegu za kuku wale wakubwa unazo pia au sio... Click to expand...
Mwaka 2015? Mungu akisaidia biashara itaendelea karibu sana ZionTZ said: aisee mimi ntakua mteja wako next year ntapohamia kwangu, plz usiache hiyo biashara....i hope na mbegu za kuku wale wakubwa unazo pia au sio... Click to expand...
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Jan 9, 2014 Thread starter #24 Sawa kwa kuwa umeamua kuwa msemaji wangu..asante pia kwa kuchangia thread Kenycrux said: Hauko serious mkuu, mana mambo kama hii watu wanaweka physical adress na namba ta simu.asante kwa kushiriki na wewe humu JF Click to expand...
Sawa kwa kuwa umeamua kuwa msemaji wangu..asante pia kwa kuchangia thread Kenycrux said: Hauko serious mkuu, mana mambo kama hii watu wanaweka physical adress na namba ta simu.asante kwa kushiriki na wewe humu JF Click to expand...