Nauza vifaranga vya kuku aina ya kanga(chotara)

Nauza vifaranga vya kuku aina ya kanga(chotara)

aisee mimi ntakua mteja wako next year ntapohamia kwangu, plz usiache hiyo biashara....i hope na mbegu za kuku wale wakubwa unazo pia au sio...
 
Mwaka 2015? Mungu akisaidia biashara itaendelea karibu sana
aisee mimi ntakua mteja wako next year ntapohamia kwangu, plz usiache hiyo biashara....i hope na mbegu za kuku wale wakubwa unazo pia au sio...
 
Sawa kwa kuwa umeamua kuwa msemaji wangu..asante pia kwa kuchangia thread
Hauko serious mkuu, mana mambo kama hii watu wanaweka physical adress na namba ta simu.asante kwa kushiriki na wewe humu JF
 
Back
Top Bottom