ALPHA2012
Member
- May 9, 2012
- 12
- 8
Habari wana Jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kwa Kidato cha 5 na 6. Kitabu ni cha mfumo wa "Review' yaani kina maswali 108 pamoja na majibu yake. Bei ni shs 10,000. Mimi napatikana Dar es salaam sehemu za Tegeta. Unaweza kuagiza kwa kunipigia simu namba 0744 627 333 na 0712 682 475. Karibuni sana.