Nauza vitanda na bed side zake....Bei nafuu

Nauza vitanda na bed side zake....Bei nafuu

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
Habar, tunauza vitanda na bedside zake kwa kila kitanda ......ni vitanda vilivyotumia mbao ngumu.
Bei: 380000 - 350000 kwa kila kimmoja
wapi : kawe ukwamani.
Simu : 0757994417 au 0625 959542.
Usafiri: utajitegemea
Je naweza kuwekeza? Ndio unaweza kuwekeza kidogo kidogo mpaka unamaliza deni.
Je mnaweza kubadilisha rangi? : Ndio utachagua rangi unayotaka.
Karibuni nyote.
IMG-20201205-WA0007.jpg
IMG-20201205-WA0016.jpg
IMG-20201205-WA0013.jpg
IMG-20201205-WA0007.jpg
IMG-20201205-WA0022.jpg
IMG-20201205-WA0011.jpg
 
Mbao ngumu hazipakwi langi hata siku moja hizo ni mbao mchwa wanakula hivyo uta wapata wanawake wasio jua aina za mbao

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom