Havijawahi kufanyia ujinga wowote walikua wakilalia watoto... vikawekwa stoo sasa tunapunguza vitu stoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Chato
Mpera umeanza kuchongwa mbao siku hizi😀
Ha ha leo kuna mwana kaja kuninadishia kitanda kipya kabisaa, sema nakiogopa sijui katumia mti ganiMpera umeanza kuchongwa mbao siku hizi[emoji3]
Unahofia mwana huenda katumia mpera ama?😀😀Ha ha leo kuna mwana kaja kuninadishia kitanda kipya kabisaa, sema nakiogopa sijui katumia mti gani
Sent using Jamii Forums mobile app