Chelsea tumechoka makombe kila mwaka daah acha tupumzikeππ
Nauza Man u mbovu na Chelsea chakavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Team zimechokaa balaaa yani kuwa shabiki wa hizi timu no diet tosha stress zake ni balaaa bora Chelsea haina wachezaji wa maana sasa Hili Lishetani lekundu ndo balaaa yani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sweta LA Tanzania ID yako ya zamani ni ipi?
HahahaKwa nzia Leo nawashusha hadhi View attachment 1194574