Nauza vitu hivi

Nauza vitu hivi

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Nauza Man u mbovu na Chelsea chakavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Team zimechokaa balaaa yani kuwa shabiki wa hizi timu no diet tosha stress zake ni balaaa bora Chelsea haina wachezaji wa maana sasa Hili Lishetani lekundu ndo balaaa yani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ayseee...Chelsea tumechoka kupokezana vikombe na Man City tangu 2010, ngoja tumwachie Liverpool naye ajaribu bahati [emoji1787]
 
Acha uchuro

Nauza Man u mbovu na Chelsea chakavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Team zimechokaa balaaa yani kuwa shabiki wa hizi timu no diet tosha stress zake ni balaaa bora Chelsea haina wachezaji wa maana sasa Hili Lishetani lekundu ndo balaaa yani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwa nzia Leo nawashusha hadhi
69690888_2659256134085581_9104874739561660416_n.jpeg
 
Asiekubali kushindwa si mshindani si bure utakua team Arsenal na mnakalia leo
 
Back
Top Bottom