INAUZWA Nauza vitu vilivyotumika (used) vya ndani Mwanza

INAUZWA Nauza vitu vilivyotumika (used) vya ndani Mwanza

trudie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
3,668
Reaction score
8,745
Habari za jioni wanajukwaa natumai mpo wazima kabisa. Nauza vitu vya ndani kwa bei nafuu kabisa napatikana Mwanza maeneo ya Iloganzara nyuma ya kanisa la KKKT karibuni sana.

Kitchen cabinet 220,000
Meza na vistuli vyake viwili 150,000
Mtungi wa gesi complete 30,000.

Kwa maelezo zaidi karibu dm
View attachment 1661807View attachment 1661808View attachment 1661811
 

Attachments

  • Screenshot_20201222-221539_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20201222-221539_WhatsApp.jpg
    22 KB · Views: 39
  • Screenshot_20201222-221609_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20201222-221609_WhatsApp.jpg
    19.9 KB · Views: 40
  • Screenshot_20201222-221614_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20201222-221614_WhatsApp.jpg
    15.2 KB · Views: 38
  • Screenshot_20201222-221621_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20201222-221621_WhatsApp.jpg
    14.5 KB · Views: 39
  • Screenshot_20201222-221630_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20201222-221630_WhatsApp.jpg
    20.1 KB · Views: 44
  • 20201215_114750.jpg
    20201215_114750.jpg
    52.9 KB · Views: 40
Asanteni sana wakuu vitu bado vipo karibuni sana sana
 
Feni mpya imetumika week mbili tuu 45,000
IMG-20201223-WA0013.jpg
 
Karibu dear...chumba umepata dar?

Usisahau kubeba na mapazia uje uniuzie mimi uku kwangu dar..
 
Hayo mazaga zaga unayouza ni ya kisela sana hapa kuna feni la mchina, subwoofer la sea piano, jiko dogo la gesi, dressing table ya kimtaani nk. vitu vya vijana wanaoanza maisha kabisa
Ni kweli mkuu ndio nilikuwa nimeanza maisha baada ya kumaliza chuo nikapata sehemu ya kujitolea tuu nikawa najichanga na viposho posho tuu.
 
Hayo mazaga zaga unayouza ni ya kisela sana hapa kuna feni la mchina, subwoofer la sea piano, jiko dogo la gesi, dressing table ya kimtaani nk. vitu vya vijana wanaoanza maisha kabisa
Dah maisha tunatofautiana...mim naona vitu vya kishua kabisa hivo wewe unasema vya kisela
 
Back
Top Bottom