INAUZWA Nauza vitu vilivyotumika (used) vya ndani Mwanza

INAUZWA Nauza vitu vilivyotumika (used) vya ndani Mwanza

Dah maisha tunatofautiana...mim naona vitu vya kishua kabisa hivo wewe unasema vya kisela
Maisha tunatofautiana sana mkuu wakati mwingine anajchanga mwaka mzima kununua hivyo mwingine anaona vya kisela. Life has never been fair.
 
Ukifika Dar kuwa makini sana..wanaume wa Dar wamebaki kuvaa suruali wengi wamekwisha kuwa wanawake!...
 
Huna kivipi na tayari una hivyo vitu!
Mimi nauza sababu nahama naenda kuanza maisha mengine mkoa mwingine so nikigawa kwa majirani ninakoenda nikaombe kwa majirani wapya au? Sijauza sababu nimenunua vipya hivyo havina kazi
 
Nimesoma comments zote adi hapa....😂😂........🙌
 
Back
Top Bottom