ukishamaliza kuuza vitu ni PM tafadhari nina jambo langu.Kitchn cabinet pamoja na meza yenye vistuli bado vipo karibuni sana. Mtungi wa gesi wa Orxy complete unapatikana pia
Karibu ukae kwangu miezi mitatu ukiwa unatafuta roomMwanza sehemu gan mim nataka chumba nipange hizo, nianze maisha
Huyu mwanaume surualiWatu wameona avatar ya kalio wanadhani ni mwanamke unaeza kuta ni mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umeviuza au bado,nataka mtungi na subwooferKitchen cabinet pamoja na meza yenye vistuli bado vipo karibuni sana. Mtungi wa gesi wa Orxy complete unapatikana pia