SOLD: Nauza vitu vya ndani, kigamboni

SOLD: Nauza vitu vya ndani, kigamboni

Status
Not open for further replies.
Haujaweka namna nzr ya kukutafuta...
Umesema tu mtu aje kigamboni na haujafafanua na hata no ya simu haujaweka. Yaan mtu akufuate inbox kuomba namba
 
Kuna vitu hivi;
-Sofa moja la watu wawili
-Meza ndogo
-Kitanda na godoro
-Subwoofer ndogo, full na kila kitu chake hadi box
-Dressing table
-Decoder na ungo(dstv)
Vyote nafanya 600,000 tu bei ya hasara maana nataka kuhama, chumba pia kipo kwa atakayehitaji utaongea na mwenye nyumba(chumba na sebule na choo ndani). Unaweza kuchukua kimoja wapo au viwili tutaongea bei ukiviona.

NB: Sina smartphone kwasasa nashindwa kupiga picha ila kwamaelezo zaidi njoo kigamboni uvione .
Nimesoma kichwa cha habari na kufungua kwa haraka kumbe unauza samani
 
Sasa Me na dressingtable ndugu yangu? au anauza kwa niaba ya mtu
Kwani nini maana ya dressing table? acha kukariri. Unataka mafuta, kioo, chana vikae chini au kwenye kabati la vyombo?.
 
Kwani nini maana ya dressing table? acha kukariri. Unataka mafuta, kioo, chana vikae chini au kwenye kabati la vyombo?.


Kumbe na kabati la vyombo unalo mkuu? Mbona lenyewe huuzi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom