bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Vimepimwa na hati zake kamili na malipo ya kodi zote,square meter 600 kila kiwanja.Ni pale lile eneo maarufu kama makazi ya wastaafu.
Sababu ya kuuza,shida na hela ya kuendeleza project zangu.bei ni million 6 kwa kila kiwanja.Na kama nikipata dalali wa kunisaidia na hii ishu ntafurahi.