Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni Mikwambe

Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni Mikwambe

David hustle

Member
Joined
May 11, 2021
Posts
18
Reaction score
13
Viwanja ni vikubwa 20*20
Bei kuanzia milion 1
Unapata kiwanja safi kabisaa
0715035758/0689244658
Karibu tukuhudumie
Mahali viwanja vilipo kuna usafiri wa bajaji 500 tu kutoka barabara ya lami.

IMG_xqg7qq.jpg
 
Devi Mikwambe ipi hiyo unapata kiwanja cha 1m....tutakuja kujionea
 
Mbona unajifichaficha sasa... Ahsante kwa taarifa...
 
Ukimuuliza Hati anakuambia sina and siasa kibao kigamboni ukikosea umeliwa eneo moja wanauziwa watu mia na hawakomi
 
Back
Top Bottom