Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2016
Posts
310
Reaction score
896
IKO UMBALI GANI KUTOKA MOROGORO RD? Plot na Nyumba ya kisasa ndani yake iko 3kms kutoka Morogoro Rd
.
PAKOJE? Plot iko 50 metres kutoka barabarani na imezungushiwa fence ya kisasa inayowaka taa za kisasa usiku, na Nyumba iko pembeni kabisa. Kiasi kwamba ekari 1 na robo tatu iko unused inayoacha nafasi kwa ajili ya investment bila kubomoa nyumba hiyo ya thamani kubwa
.
NAWEZA KUFANYA MRADI GANI? Site inaweza kuwa invested na vitu Kama: Petrol Station, Mall, Kumbi za kisasa za Sherehe, Bandari kavu kwa ICD's, Hospitali, Shule, College, Yard kwa ajili ya magari makubwa, Apartments za kisasa, Mnara mkubwa kwa ajili ya server kubwa kwa makampuni ya simu, Hostels (zikilenga Mloganzila Hospital), NA PIA PANAWEZA KUENDELEA KUTUMIKA KWA MAKAZI YA KAWAIDA KWA MTU ATAKAYEPENDA HIVYO
.
KWANINI PANAUZWA? Panauzwa kwa sbb mmiliki anataka kubadilisha mazingira ya kuishi na sio kwamba kuna mgogoro ama msigano wowote
.
KUNA HATI? Bado hapajapatiwa hati, ila kuna beacons zinazoonesha mipaka ya Plot pamoja na fence iliyozungushwa eneo lote, na nyaraka zingine zote zimekamilika. Sio mali ya kurithi
.
BEI INASHUKA? Ndio, mazungumzo ya bei yapo kwa mteja aliye tayari kufanya biashara na sisi. Na vile vile anaweza kulipa kwa awamu (kidogo kidogo).
.
NYUMBA ILIYOPO INA SIFA ZIPI? Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, viwili ni master bedrooms, master kubwa ina jaccuzi pia. Sitting room kubwa ya kisasa, Dinning room, jiko, stoo, garden, paving blocks, Nyumba ina ukuta wa vioo upande mmoja, alluminium windows, Gypsums, tiles, AC na parking space yenye turubai kutosha gari mpaka 3 kwa wakati mmoja
.
WEWE NI DALALI? Hapana, Nyumba ni ya ndugu yangu kabisa
.
MAWASILIANO? 0717 650800
.
KARIBUNI SANA SANA SANA TUZUNGUMZE [emoji1666]

IMG-20220711-WA0006.jpg
IMG-20220711-WA0005.jpg
IMG-20220711-WA0004.jpg
IMG-20220711-WA0009.jpg
IMG-20220711-WA0008.jpg
IMG-20220711-WA0007.jpg
IMG-20220711-WA0002.jpg
IMG-20220711-WA0000.jpg
IMG-20220711-WA0001.jpg
IMG-20220711-WA0003.jpg
 
Kuna watu JF akili zao wanazijua wenyewe daaah,wewe PLANETT umenitoa machozi kwa kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu JF akili zao wanazijua wenyewe daaah,wewe PLANETT umenitoa machozi kwa kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama lile nalo limekuchekesha basi mkuu kicheko chako cha mpaka machozi kipo karibu sana, kiasi kwamba hata ukimuona jogoo anampanda tetea utacheka sana mpaka machozi
.
[emoji1666]
 
Back
Top Bottom