Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaKiwanja kinauzwa rekebisha
Location nzuri labda bei ndio tatizo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hizo wanachukuaga washua wanabomoa halaf wanajenga ghorofa sisi kajamba nani ndo tunaona ghali ila ni bei ya kawaidaKiwanja kinauzwa rekebisha
Location nzuri labda bei ndio tatizo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Bei ya kawaida sanaHizo wanachukuaga washua wanabomoa halaf wanajenga ghorofa sisi kajamba nani ndo tunaona ghali ila ni bei ya kawaida
mwananymala B hakuna uswazi? Bei kubwa hiyoBei ya kawaida sana
Unazungumza kwa dharau sana halafu tukiamua tupime Kati yangu na wewe unaweza jikuta unaaibika...Be humble kaka ktk maisha yako itakusaidia sanaMr.Dalali kwani kiwanja kina documents ngap?..si moja tu... Piga picha hyo doc tuone imeandikwa square meter ngap
Hahahaha Tz bhana.NA ILE RAV 4 INAUZWA? Hapana ile rav 4 haiuzwi ni mali ya mjomba.
Sahihi kabisa, naendelea kuwatafuta mkuu. [emoji1666]
Unalia nini? kiwanja cha urithi kinakua na hati kumi sio...ficha sehemu zote weka sehemu inayoonyesha sq. m za eneo hilo unalouza.....kama hakina hati, sema tu sio unapanic mkuuUnazungumza kwa dharau sana halafu tukiamua tupime Kati yangu na wewe unaweza jikuta unaaibika...Be humble kaka ktk maisha yako itakusaidia sana
.
Unazungumza Jambo usilolijua, eti document ni moja tu....Inastaajabisha, kwa mfano nyumba ikiwa ya urithi itakuwaje na document 1?
.
Eti piga picha hiyo document tuone imeandikwa square metres ngapi? Ungekuwa wewe ndiye unayeuza ungeweza kuweka nyaraka zako sensitive Kama hizo humu mitandaoni?
.
BE HUMBLE MAN [emoji1666]
Wasalimie uvinza hapo.mwananymala B hakuna uswazi? Bei kubwa hiyo
Bahati mbaya mwenye pesa za kununua hapo Hana Muda wa kupiga kelele zote hizi mitandaoni.Unalia nini? kiwanja cha urithi kinakua na hati kumi sio...ficha sehemu zote weka sehemu inayoonyesha sq. m za eneo hilo unalouza.....kama hakina hati, sema tu sio unapanic mkuu