No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Sasa hv tupo kwenye mwenge tunakula buku 5 na mbususu...waliojuu wanapanga safar ya kwenda kuhani..hakuna matataBahati mbaya mwenye pesa za kununua hapo Hana Muda wa kupiga kelele zote hizi mitandaoni.
Karibu tuendelee kukisifia chama tukalipwe buku 7 zetu tukanywe ulanzi na chimpumu.