Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Mkuu, May ilikuwa 600M.
Kwq hiyo bei tena kibamba 3km toka lami, asahau

Sawa
 
Mimi sio mnunuzi Ila Nina maoni , humu hamna wateja , fanya hv pigia thaman ya nyumba ambayo kimsingi Kwa thaman ya sasa haizidi 50 million , japo wakat inajengwa ilijengwa Kwa bei ya chini zaidi , pia pigia thaman ya kiwanja , kama ni km3 away from highway , kimsingi hapo thaman ya kiwanja ni 50 million , alaf ongezea na 50 million nyingine kama faida .... So hapo reasonable inatakiwa iuzwe 100-150 million...
 
Hii biashara inaonyesha kabisa hiyo nyumba haina thamani yoyote na bei yake halisi haijulikani.
Mfano=
July 11 nyumba ilikuwa bei 450
August 24, bei million 350
October Million 300 ,mwezi huwo imeshuka Million 250 , ikifika January inaweza fika Million 80 au chini zaidi.
Inashangaza kwakweli ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IKO UMBALI GANI KUTOKA MOROGORO RD? Plot na Nyumba ya kisasa ndani yake iko 3kms kutoka Morogoro Rd
.
PAKOJE? Plot iko 50 metres kutoka barabarani na imezungushiwa fence ya kisasa inayowaka taa za kisasa usiku, na Nyumba iko pembeni kabisa. Kiasi kwamba ekari 1 na robo tatu iko unused inayoacha nafasi kwa ajili ya investment bila kubomoa nyumba hiyo ya thamani kubwa
.
NAWEZA KUFANYA MRADI GANI? Site inaweza kuwa invested na vitu Kama: Petrol Station, Mall, Kumbi za kisasa za Sherehe, Bandari kavu kwa ICD's, Hospitali, Shule, College, Yard kwa ajili ya magari makubwa, Apartments za kisasa, Mnara mkubwa kwa ajili ya server kubwa kwa makampuni ya simu, Hostels (zikilenga Mloganzila Hospital), NA PIA PANAWEZA KUENDELEA KUTUMIKA KWA MAKAZI YA KAWAIDA KWA MTU ATAKAYEPENDA HIVYO
.
KWANINI PANAUZWA? Panauzwa kwa sbb mmiliki anataka kubadilisha mazingira ya kuishi na sio kwamba kuna mgogoro ama msigano wowote
.
KUNA HATI? Bado hapajapatiwa hati, ila kuna beacons zinazoonesha mipaka ya Plot pamoja na fence iliyozungushwa eneo lote, na nyaraka zingine zote zimekamilika. Sio mali ya kurithi
.
BEI INASHUKA? Ndio, mazungumzo ya bei yapo kwa mteja aliye tayari kufanya biashara na sisi. Na vile vile anaweza kulipa kwa awamu (kidogo kidogo).
.
NYUMBA ILIYOPO INA SIFA ZIPI? Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, viwili ni master bedrooms, master kubwa ina jaccuzi pia. Sitting room kubwa ya kisasa, Dinning room, jiko, stoo, garden, paving blocks, Nyumba ina ukuta wa vioo upande mmoja, alluminium windows, Gypsums, tiles, AC na parking space yenye turubai kutosha gari mpaka 3 kwa wakati mmoja
.
WEWE NI DALALI? Hapana, Nyumba ni ya ndugu yangu kabisa
.
MAWASILIANO? 0717 650800
.
KARIBUNI SANA SANA SANA TUZUNGUMZE [emoji1666]

IPO KARIBU NA KWA MZEE MBONDE? AMBAYE NI MAREHEMU KWA SASA?
 
Eneo: 600 sqm

Ni hatua za kutembea 20 kutoka barabara kubwa inayotoka Magomeni kuelekea Sinza.

Nyumba imejengwa kwa chumba na sebule 4 zikiwa na block mbili zinazotazamana.

Chumba na sebule mbili zita-share choo na bafu upande wao, na block ingine inayotazamana nayo watafanya vivyo hivyo.

Siyo bondeni kwamba kunajaa maji, kumezungukwa na nyumba za kisasa mbele yake (ipo video nashindwa kui-upload hapa).

Pana nyaraka zote halali, na hakuna mgogoro wowote.

Bei: TZS. 29m

Call: 0717 650800
IMG_20221128_124325.jpg
IMG_20221128_124247.jpg
IMG_20221128_124355.jpg
IMG_20221128_124535.jpg
 
Back
Top Bottom