Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani anamaanisha SQF badala ya SQM600sqm ndio hilo eneo kweli?
😆😆😆😆 Eti ndiko huko wanauza mil.29 .Wacha tu niendelee kukaa huku mkoani kama Dar kwenyewe ndio kuko hivyo...
na inawezekana hapafikiki kabisa kwa gari hata guta wala bodaboda600sqm ndio hilo eneo kweli?
Bei ni rahisi ila kumbuka unamfuata PopobawaBei rahisi sana.
Hapa una nunua unamalizia kujenga unapangisha.
Hapo ni maeneo ya uswazi haswaa. Wagalatia kama mimi ngumu kuishi mitaa hiyo.
[emoji38][emoji38][emoji38]Wacha tu niendelee kukaa huku mkoani kama Dar kwenyewe ndio kuko hivyo...
Huo ujenzi wa hilo pagale tu unaouona hapo umegharimu TZS. 25m
Tukumbushane tu 2017 Ford Ranger TDCi XLT/AT Double cabin ushuru ni 31m TZSEneo: 600 sqm
Ni hatua za kutembea 20 kutoka barabara kubwa inayotoka Magomeni kuelekea Sinza.
Nyumba imejengwa kwa chumba na sebule 4 zikiwa na block mbili zinazotazamana.
Chumba na sebule mbili zita-share choo na bafu upande wao, na block ingine inayotazamana nayo watafanya vivyo hivyo.
Siyo bondeni kwamba kunajaa maji, kumezungukwa na nyumba za kisasa mbele yake (ipo video nashindwa kui-upload hapa).
Pana nyaraka zote halali, na hakuna mgogoro wowote.
Bei: TZS. 29m
Call: 0717 650800
View attachment 2432188View attachment 2432190View attachment 2432195View attachment 2432196