Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute ulimaanisha square feetEneo: 600 sqm
Ni hatua za kutembea 20 kutoka barabara kubwa inayotoka Magomeni kuelekea Sinza.
Nyumba imejengwa kwa chumba na sebule 4 zikiwa na block mbili zinazotazamana.
Chumba na sebule mbili zita-share choo na bafu upande wao, na block ingine inayotazamana nayo watafanya vivyo hivyo.
Siyo bondeni kwamba kunajaa maji, kumezungukwa na nyumba za kisasa mbele yake (ipo video nashindwa kui-upload hapa).
Pana nyaraka zote halali, na hakuna mgogoro wowote.
Bei: TZS. 29m
Call: 0717 650800
View attachment 2432188View attachment 2432190View attachment 2432195View attachment 2432196
U can't be serious my furendiHuo ujenzi wa hilo pagale tu unaouona hapo umegharimu TZS. 25m
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ningenunua, ila niliposkia eneo lenyewe ni popo bawa nikaona hapo kutakuwa na risk sana, nisije kupoteza marinda yangu huku najiona hivi hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ningenunua, ila niliposkia eneo lenyewe ni popo bawa nikaona hapo kutakuwa na risk sana, nisije kupoteza marinda yangu huku najiona hivi hivi
Pagale gani hilo 25m .. ukipata nyingi sana 20m.Huo ujenzi wa hilo pagale tu unaouona hapo umegharimu TZS. 25m
Sehemu kama hiyo unaishije?
Umasikini baba. Hakuna anayependa kuishi sehemu mbovu zisizo na hata mipango miji. Umasikini sio poa. Unadhani kuna mtu anapenda kudamka saa 10 usiku kisa tu kuwahi foleni Mwananyamala hospitali!?Sehemu kama hiyo unaishije?