Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Mandhari tu inatosha kuonesha hapo mvua ikinyesha, maji hutuama na huenda hakuingiliki wala hakutokeki wakati wa mvua kubwa.

Actually hapo ni bondeni.
Jitahidi ufike upaone, Hilo neno "actually" utaliondoa mwenyewe [emoji1666]
 
Bei rahisi sana.
Hapa una nunua unamalizia kujenga unapangisha.
Hapo ni maeneo ya uswazi haswaa. Wagalatia kama mimi ngumu kuishi mitaa hiyo.
Mitaa ya waswahili sana, Kama wewe siyo jamii ya ukanda wa pwani huta paweza kuishi

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Magomeni popobawa ndio wapi huko?
Iko karibu na eneo gani maarufu
Kwa mtogole Tandale hiyo barabara inayopita kutokea Magomeni kuanzia Sinza kijiweni, vaticani, White Inn, sweet corne, shule Tanesco, kwa mtogole, kwa Tumbo, kwa bi nusu,

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
eti kama unaelekea sinza😀.kwanini tu usiseme kama unaeleka kwa mtogole mbona sinza ni mbali sana huko
 
Siyo bondeni kwamba kunajaa maji, kumezungukwa na nyumba za kisasa

Kuna aliyeziona nyumba za kisasa wakuu nimeangalia sizioni
 
EXACTLY LOCATION YA PAGALA NI HIYO [emoji1666]
Screenshot_20221228-131309.jpg
IMG-20221228-WA0045.jpg
IMG-20221228-WA0048.jpg
IMG-20221228-WA0049.jpg
 
Kwa eneo lilipo hiyo hela ni ndogo sana.labda kama kuna jaa maji kipindi cha mvua ,hapo ni town kabisa kabisa ,
Way back nimeishi hiyo mitaaa
nimeishi pia mitaa hiyo kibaharia,maisha yoote huko ni bei chee na usilete ushua ishi kama wao tu vinginevyo usiseme hatujakwambia
 
Karibuni [emoji91][emoji91][emoji91]
.
20milions
 
Back
Top Bottom