INAUZWA Nauza viwanja na nyumba pamoja na kupangisha maeneo mbalimbali Dar es Salaam

INAUZWA Nauza viwanja na nyumba pamoja na kupangisha maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Sawa kazi nzuri, toa maelezo ya kila appartment vizuri watu waelewe kuwa kuna nini kwenye kila appartment, don't fail to advitise kazi yako sokoni.
 
Piga picha kwa mbali kidogo zionekane vizuri
Ukikusanya kidogo nunua drones [emoji1]

Natamani nilipe kidogo kidogo vipi utaratibu upo?
Yaani nitoe 30m cha mbele
 
Back
Top Bottom