Mapinga ipo mkoa/Wilaya gani mkuu?*Mapinga- Viwanja vya makazi!
Ukubwa wa sqm 500, viko km1.5 kutoka barabara ya lami. Vimepimwa tayari kwa ufuatiliaji wa umiliki kisheria.
Huduma zote za kijamii zinapatikana, maji & umeme upo. Kumejengeka TAYARI
Bei Tsh: 10M
Mawasiliano : 0753288167
View attachment 2492772View attachment 2492773View attachment 2492774
Maskini hana chaguoPer square meter bei gani!?
Hv kuna upepo wa kutosha!? Hewa inapita!!?
Mimi sipendi maeneo mazito kwa hewa kama Sinza
Upepo upo wa kutooshaaaa boss. Nyumba zimepangwa vizuri na maeneo ya wazi yako mengiPer square meter bei gani!?
Hv kuna upepo wa kutosha!? Hewa inapita!!?
Mimi sipendi maeneo mazito kwa hewa kama Sinza
Mkuu wanakuja...kama hutojali nisaidie app uliyotumia kupima hicho kiwanja nikapimie mashamba yanguKiwanja kizuri mno ndani kina nyumba ukubwa wa sqm 600.Ndani ya fensi, Kimepimwa. Document zote zipo.
Mawasiliano : 0753288167
Bei Milioni 55. Maongezi kidogo yapo
View attachment 2500615View attachment 2500616View attachment 2500617
Mkuu hiyo google map boss. Alama unaweka mwenyewe kwa editting. Tuwasiliane na hivyo viwanja vayko tuvifanyie matangazo mkuu. 0753288167Mkuu wanakuja...kama hutojali nisaidie app uliyotumia kupima hicho kiwanja nikapimie mashamba yangu